
Kulia ni Bw Atamus Liyumba akiwa na mtuhumiwa mwenzake Deogratius Kweka wakati wanaingia Mahakama ya Kisutu leo.

Tabasamu ya boss Lyumba

He seems to be confident of what he is doing.

Bw Liyumba aliwauliza maafande sehemu atakayo kaa.

Wananchi mbalimbali walijitokeza mahakamani Kisutu kufuatilia kesi inayomkabili Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu wa zamani Bw Atamus Liyumba pamoja na mwenzake ambaye alikuwa meneja mradi Bw Deogratius Kweka. Ilikuwa inasemekana kuwa Bw Liyumba amekimba lakini leo ndio ukweli ulikuwaujulikane kama amekimbia kweli au la. Bw Liyumba kinyume na matarajio ya wengi alikuja Kortini kama alivyopangiwa nakuwaacha watu wengi midomo wazi. Lakini badala ya kurudi nyumbani leo, Bw Liyumba alipelekwa rumande kwasababu ya kutotimiza masharti ya dhamana za mali zake na kutoa passport iliyo expire wakati anayo mpya.
Swali;
1. Kwanini mahakama ilimpa dhamana mwanzoni.
2. Hivi mahakama hawakuiona hiyo passport iliyo-expire mwanzoni.
3. Kwanini mahakama ilitoa hati ya kumkamata Liyumba wakati siku yake yakufika mahakamani hapo ilikuwa haijafika.
No comments:
Post a Comment