Mgambo wa Dar es salaam leo wamemkamata mmoja ya waganga mapeli maeneo ya mnazi mmoja Bibi Titi rd. Mganga huyu ameweka tangazo lake linaloonyesha kuwa anatibu majongwa sugu kama vile kisukari, ukimwi na mengineyo yaliyo washinda madaktari bingwa huko Ulaya. Mbali na magonjwa pia mganga huyo anaweza kukuletea mpenzi aliye mbali ama bahati kazini iliupate cheo na mambo.
Mgambo wakichuku baadhi ya tunguli za mganga huyo
Mtuhumiwa akijiandaa kupanda gari la mgambo.
Mgambo wanamsubiri mtuhumiwa kwa hamu.
Mgambo wakimsaidia mtuhumiwa kuingia ndani ya lori lao.
Naomba afikishe kotini kwa makosa ta utapeli. Waliotapeliwa wote wajitokeze. Alafu naomba koti itoe adhabu kali iwe funzo kwa waganga wote matapeli. Na hasa wale wanaodanganya watanzania kuwa watapata utajiri wakiwapelekea viwiliwili vya Albino.
Eti anaweza kutibu magonjwa yaliyowashinda madaktari bingwa ulaya. Mbona asianze kujitibu mwenyewe apate huo utajiri nayeye anunue nyumba Upanga au Oysterbay
sasa waganga kama hawa ndio wanawapa watu matumaini, maana ukienda hospitali lugha ni mbaya ajabu, lakini hapa jamaa analugha nzuri tu. saa nyengine mjonjwa anahitaji matumaini tu na hawa wako kwa ajari ya hilo.
Watu wengi wakienda kwa hawa waganga huwa wanajua vizuri kuwa ni mataperi, lakini wanahitaji hopu.
2 comments:
Naomba afikishe kotini kwa makosa ta utapeli. Waliotapeliwa wote wajitokeze. Alafu naomba koti itoe adhabu kali iwe funzo kwa waganga wote matapeli.
Na hasa wale wanaodanganya watanzania kuwa watapata utajiri wakiwapelekea viwiliwili vya Albino.
Eti anaweza kutibu magonjwa yaliyowashinda madaktari bingwa ulaya.
Mbona asianze kujitibu mwenyewe apate huo utajiri nayeye anunue nyumba Upanga au Oysterbay

Post a Comment