Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

December 22, 2008

VALUEV AMSHINDA EVANDER HOLLYFIELD

Russian Nikolai Valuev (kushoto) akimwangalia mpinzani wake Evander Holyfield wa US.



Huyu Valuev ni mtu au mnazi.


kama mimi ni Hollyfield nawacha kupigana ngumi; angalia jinsi maji yalivyoruka baada ya ngumi kutua.


Evander Hollyfield (46) bingwa wa zamani wa masumbwi katika uzani mzito juzi alipambana na bingwa wa sasa wa WBA Nikolai Valuev (35) kutoka Urusi. Matoka kutoka kwa majaji yalikuwa kama ifuatavyo 114-114, 116-112 na 115-114 mawili kati hayo yakimpa ushindi Valuev. Ilikuwa ni rahisi kwa Valuev kushinda pambano kwasababu yeye ni mdogo kiumri kwa miaka 11, amemzidi Hollyfield urefukwa futi moja (1) na pia amemzidi Hollyfield uzito kwa kilo harubaini (40kg). Mbali na Valuev alikuwa na upendeleo wa kimaumbile hakuonyesha kuwa alumudu pambano alishinda kwa pointi ndogo.





2 comments:

Anonymous said...

huyu mrusi basi hana lolote ikiwa point ni hizo kidogo basi evander kajaribu sana na enzi zake angepigwa sana.

Anonymous said...

a bathing ape
yeezy shoes
jordan travis scott
golden goose outlet
kyrie 7
off white
hermes bags
off white hoodie outlet
yeezy
off white hoodie