Mmiliki wa Kisima cha kisasa ambacho kinatoa maji safi ya kunywa kilichopo Kisiwani Vijibweni Kigamboni, Dar es Salaam, Steven Makandi akiwaelekeza baadhi ya wateja wake waliokuja kuchota maji namana ya kutumia bomba ambapo dumu moja huliuza shilingi 30.Kisima hicho ni tegemeo kwa wakazi wa kigamboni na kimegharimu zaidi ya Milioni 4.
No comments:
Post a Comment