Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

December 22, 2008

KUMBE ICB WANAYAWEZA MAMBO YA PWANI (AKA MDUARA)

Mambo ya mduara.

John akionyesha manjonjo yake katika style ya "ki-pwani pwani"

Edwin Meneja wa Tawi la Lumumba na Martin kwa raha zao wakijirusha ndani ya mduara


Kumbe mugomugongo ipo kwenye mduara, huyo ni Francis mdau mkubwa katika Pwani Raha akicheza mduara na Celine.



Finance and Administration Manager bw Abdul Mateka ndani ya mduara.

1 comment:

Anonymous said...

jamani hii ilikuwa nyimbo gani maana kunaonekana patamu.