Msani wa kikundi cha upendo cha walemavu cha magomeni mikumi Hamis David na wenzake wakiigiza jinsi Maalbino wanavyo kamatwa na kuawa kinyama wakati wa maadhimisho ya siku walemavu iliyofanyika katika viwanja vya Mazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo tarehe 3 December 2007.
December 3, 2008
THE ALBINO CRISSIS IN TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
This is the agony of gender based violence against the Albino. JK and the judiciary should impose severe sentence to anyone who is guilt in such hideous action so as to put a stop.
Serikali inatakiwa iweke mkono wake, lakini wengi wanaogopa hao makalumanzira, msiogope bwana washughulikieni hali imeshakuwa si shwari.
utajiri utafanya watu wafanye mengi hii si sawa kabisa, watu hawataki kufanya bidii. huu mteremko sio sawa kabisa.
kama watu wamekamatwa kuhusiana na hili hapa dar, itakuwa vyema washughulikiwe bila huruma kama ni kweli.
[url=http://www.kfarbair.com][img]http://www.kfarbair.com/_images/_photos/photo_big7.jpg[/img][/url]
מלון [url=http://www.kfarbair.com]כפר בעיר[/url] - אינטימיות, [url=http://kfarbair.com/services.html]שקט[/url] . אנו מספקים שירותי אירוח מגוונים כמו כן ישנו במקום שירות חדרים המכיל [url=http://www.kfarbair.com/eng/index.html]אחרוחות רומנטיות[/url] במחירים מפתיעים אשר מוגשות ישירות לחדרכם.
לפרטים אנא גשו לעמוד המלון - [url=http://kfarbair.com]כפר בעיר[/url] [url=http://www.kfarbair.com/contact.html][img]http://www.kfarbair.com/_images/apixel.gif[/img][/url]
torebki david jones
to kazar torebki , torebki skórzane damskie , kazar sklep internetowy . torebki zamszowe , torby listonoszki ?
Post a Comment