Rais mteule Barack Obama wamewafanyia usaili (interview) Seneta Hillary Rodham Clinton na Gavana wa New Mexico Bill Richardson katika wadhifa wa uwaziri wa Mambo ya Nje (Secretary of State) mmoja wa watu wa karibu wa Obama alitoboa siri hiyo. Obama alikutana na Bill Richardson Ijumaa jana saa nane, siku moja baada ya kukutana mama Clinton. Mpaka sasa haijajulikana ni nani Obama atampendelea.November 15, 2008
OBAMA KUMCHAGUA MAMA CLINTON KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE.
Rais mteule Barack Obama wamewafanyia usaili (interview) Seneta Hillary Rodham Clinton na Gavana wa New Mexico Bill Richardson katika wadhifa wa uwaziri wa Mambo ya Nje (Secretary of State) mmoja wa watu wa karibu wa Obama alitoboa siri hiyo. Obama alikutana na Bill Richardson Ijumaa jana saa nane, siku moja baada ya kukutana mama Clinton. Mpaka sasa haijajulikana ni nani Obama atampendelea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
















No comments:
Post a Comment