


Polisi wa Metropolitan wameanzisha uchunguzi dhidi ya Didier Drogba kwa kitendo chake cha kuwarushia vitu vinavyo sadikiwa kuwa ni sarafu kwa mashabikiwa Burnley (kumbuka kuwa mashabiki hao ndio walioanza mchezo wa kurusha hizo sarafu). hata hivyo drogba amekiri kosa lake na akaongeza kuwa huenda sarafu zile zinge muumiza mtu.
1 comment:
Duh!!!!!its quite emberrasin 4 Drogbaz reputation-na wewe uliyesema inaeleweka kwa Chelsea(kanywe maji tena).
Post a Comment