DOOO, Shadarack Nsajigwa kepteni wa taifa stars akishanga jamaa aliyejitosa kwenda katikati ya uwanja kumgusa Kaka wakati mechi inaendelea hapa Nsajigwa nikama anasema kuwa uyaone nilikuwa nikiona tu kwenye Luninga Majuu kumbe hata hapa kwetu inawezekana, kijana huyo aliluka kutoka jukwa la Orenge ambapo alikuwa amkekaa akiwa na rafiki yake mipango yote ya kutaka kuruka ilikuwa ikipangwa na watu wawili zamila yao ilikuwa nivijana wawili mmoja akamguse kaka na mwingine Robinho lakini kijana wa pili aliokopa kuruka kutoka juu akihofia kuvunjika lakini tayari alikuwa amesha vua viatu kama mwenzake.
June 8, 2010
KIJANA ALIYEINGIA UWANJANI ASEMA NITAKUWA KAMA KAKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Jamaa hata wamuazibu kashaweka historia kwa wajukuu zake!
Post a Comment