Pages

February 20, 2010

KCB (T) Organizes A Farewell Party For Their Former Boss -Heri Bomani

Former KCB (T) boss Heri Bomani delivers a speech to KCB employees and explains to them his recent decision to resign being part of his plans to pursue his personal interests, he added that one of the projects he has engaged in is African Initiative Programme among other business ideas that he has.

Mama Janet Mbene akimkabidhi zawadi ya shukrani mkurugenze mkuu wa KCB (T) kwa mengi aliyoyafanyia benki hiyo, katikati ni Bw Joram Kiarie kaimu mkurugenzi mkuu wa KCB (T), kulia kabisa ni mkurugenzi mkuu wa KCB Uganda Bw James Agin.

Ilikuwa kama bahati kuwa siku Bw Heri Bomani anaagwa pia ilikuwa siku yake ya kuzaliwa, jana hiyo alikuwa anasheherekea miaka 39 ya kuzaliwa kwake.

Akikatiwa keki ya happy basdei.


Kaimu mkurugenzi mkuu wa KCB (T) Bw. Joram Kiarie akitoa hotuba yake hapo jana.


Janet Mbene mkurugenzi wa bodi ya KCB (T) akitoa hotuba yake, Bi Janet Mbene alipongezwa jana kwa kuchaguliwa hivi karibuni kuwa Mbunge wa kuteuliwa na rais (nominated MP).

Mkuu wa kitengo cha masoko Christine Manyenye akiongea na wafanyikazi. kwa picha zaidi BONYEZA HAPA/ MORE PICTURES.

Wafanyikazi wa KCB wakicheza na bosi wao wa zamani.


KCB (T) Ltd's pretty faces.
Design hii ya kucheza inaitwa "shuffle"

Austin Makani akiongoza "shuffle dance"

Mduara huu.
Meneja HR Dora Kondo akifurahia party.
Kwa raha zake mwenyewe.
KCB staff pictured above "serebukaring" lead by the branch manager of the new KCB (T) Oysterbay branch.


7 comments:

  1. Mbongo2:37 PM

    Duh!!! :-) kwaheri.

    ReplyDelete
  2. Anonymous6:57 PM

    This is some interesting stuff, KCB kwa raha zoa ok.

    ReplyDelete
  3. Mzalendo8:35 PM

    Nilifikiri kuwa CEO ndio position nzuri watu hugoombea kuipata sasa ironically huyu bwana mbona anaiwacha ama mambo yake safi sana. Cha kushangaza ni kijana mdogo sana anawacha kula lulu mmhh.

    ReplyDelete
  4. Anonymous9:09 PM

    Mzalendo, mimi naona mtu akistaafu akiwa kijana kama huyu ni safi sana, ndio viongozi wanaotakiwa hawa, kisha wenzie wamemuandalia karamu kubwa. Safi sana.

    ReplyDelete
  5. Anonymous2:52 PM

    Very nice pics, napenda hii.

    ReplyDelete