
Kundi la mduara la Offside Trick hivi karibuni limekuwa maarufu sana katika siku za karibuni na hii ni baada ya kutoa nyimbo zao mbili mpya zenye ujumbe tata ziitwazo; Samaki na Al bata. Kundi hili kutoka Zenji limekuwa likishirikisha wanamuziki maarufu kutoka huko kisiwani kama vile Mzee Yusuph na wengine.

Ndani ya video ya Al bata Mzee Yusuph anaonekana akiimba ilhali anaangilia bata huku mate yanamdondoka. Kama hauoni bata kwenye hiyo picha basi? "Kwaheri".



Uncle jambazi ndio nani tena huyo.
ReplyDeletevijana hawa wanatupa burudani ya mwaka, mimi binafsi wanaukonga moyo wangu shwadakta kabisa.
ReplyDeleteStori ya ankal jambazi ni kali sana.
ReplyDeleteNyimbo nzuri, sauti nzuri, maneno === matusi ===
ReplyDeletesiwezi kutizama video hiyo pamoja na dada , binti , baba yangu
maneno kama yule hanisi anasema "" nataka kutiwa ? "" au nyama ya ya nyuma ina mafuta ??? AIBU
NYIMBO HIZI NI VIGUMU KUSIKILIZWA NA HADHARA YA WATU WANAOJIHESHIMIWA
Jamani hii nyimbo ni aibu tupu...mdundo mzuri,sauti ya mwimbaji nzuri...LAKINI.....maneno ya nyimbo ni matusi matupu..khasara kubwa hii
ReplyDeleteJamani hii nyimbo ni aibu tupu...mdundo mzuri,sauti ya mwimbaji nzuri...LAKINI.....maneno ya nyimbo ni matusi matupu..khasara kubwa hii
ReplyDelete