Pages

January 5, 2010

Hoteli ya Kwanza Hewani.

Hotel hii ina vyumba 18 vya hali ya juu, kila chumba kimekamilika kwa kila huduma ipatikanayo katika hoteli ya kifahari ya kawaida.
Jinsi Hoteli inavyoonekana hewani.

Mandhari ya vyumbani inavyoonekana kwa nje.

2 comments:

  1. Subiri mpaka hiyo helikopita ipate hitilafu ndiyo utauona utamu wa hii hoteli. Kazi kwelikweli!

    ReplyDelete
  2. Anonymous1:59 PM

    april fools day materials. hakuna kitu hapo.

    ReplyDelete