Pages

November 24, 2009

Ujenzi wa Kisasa Katika Kanisa La Mtakatifu Petro Oyster Bay.

Paroko wa parokia ya Mt Petro Jovin Bakekela akimsikiliza kwa makini sana mwenyekiti wake wa parokia hiyo Logatus Nzamba katika hafla ya kuwakaribisha viongozi wapya watakao simamia ujenzi wa ukumbi.

Kazi na Dawa ila kunenepa hakuna ni dayati .Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Walioba Jaji Bahati ambaye pia ni mstaafu ,Paroko wa parokia ya Mt,petro Jovin Bakakela wakijipendelea msosi.

Hongera kwa kuwa mmoja wa waumini wenye moyo wa kusaidiaKanisa lako.Paroko wa kanisa katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay Jovin Bakakela akimkabidhi cheti cha heshima Mwalimu wa Chuo cha ushonaji cha St Peter, Mwalimu Tesha.mafunzo yanayotolewa katika chuo hicho ni pamoja na Ushaji,Kudarizi, Mapishi, English Course,nk.form zinapatikana sasa hivi Chuoni Hapo shilingi 5000.


1 comment: