Pages

November 11, 2009

Elizabeth Gupta Awasili Nchini na Kupokewa Kwa Shangwe.

Mama mzazi wa mshiriki wa Big Brother revolution Hallin Gupta akimpongeza mwanawe Elizabeth Gupta baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Jk Nyerere Dar es Salaam akitokea nchini Afrika Kusini ambako mashindano hayo yanafanyika. Wapenzi na wafanyakazi wa kampuni ya Multi Choice walifurika kumpokea majira ya saa 2:00 usiku leo.

Hapa Elizabeth akipongezwa na mdau wa ulimbwende kutoka Ilala mh karikumtima.

1 comment: