Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

October 18, 2009

St Emmanuel Church Kisauni Mombasa Pafuka Vumbi La Harusi za Mpigo (Mass Wedding).

Mr&Mrs Joshua Mbaru " Oleole " kwenye ndoa iliyofana sana katika kanisa la mtakatifu Emanueli "Mngu Pamoja Naswi" huko Kisauni Mombasa. (sasa kilambachala kwa wingi mboko mtu).

Mr & Mrs Elly Saka "Jombaz" wakiwa kwenye karamu ya mchana ya harusi yao katika kanisa hilo la Mtakatifu Emanueli Kisauni.

Mr & Mrs Alex Mcharo "Baba Isaya" kwenye karamu ya mchana baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa hilo.

Mr & Mrs Frank Naswa "Chanaga" katika karamu ya harusi yao. Bwana Chanaga alikuwa mcheza soko mzuri sana enzi zake na guu lake la shoto. Alikuwa anasifika kwa kuwa na uwezo wa kupiga mpira kutoka Barisheba ukaangukia Bamburi.
.
"Wote hawa pichani waliamua kwa pamoja kula embe bivu na kuachana na embe bichi linalotia ganzi" haya ni maneno kutoka kwa Kasisi aliyewafungisha ndoa. Kanisa la Mtakatifu Emanueli kila mwaka huwa na taratibu ya kuwafungisha ndoa waumini wake wanaishi katika mfumo wa "come we stay" na wenziwao. Mwaka huu kulikuwa na mhamasiko mkubwa sana baadaya ya waumini kumi kujitokeza kufunga ndoa kulinganisha na mwaka jana ambapo waumini saba (7) tu ndio waliofunga ndoa. Kwa takwimu hizi, Pwani Raha inatabiri mwakani wanandoa wataongezeka na kuwa zaidi ya kumi na tano kwa nguvu za bwana.

5 comments:

pwaniraha said...

wazee nnaona wametulia.

Unknown said...

never too late.

Anonymous said...

Nimefurahi kuiona blog yako na pia nimeona tushare na wewe blog nyingine hii hapa
http://harusiyetu.blogspot.com

Tushirikishane tutafika.

Peter said...

Nimefurahi kuiona blog yako na pia nimeona tushare na wewe blog nyingine hii hapa
http://harusiyetu.blogspot.com

Tushirikishane tutafika.

Anonymous said...

joshua wazi twakuona wababa, mwake mwanangu.