Pages

October 18, 2009

Harusi Imekutumbukia Nyongo Mzee.

Kitumbua chataka kuingia mchanga, hatihati kibarua kuota nyasi. Arudi kutoka harusini gari laharibika njiani na kazini atakiwa jumatatu mawasiliano hamna. Jamani kindumbwendumbwe hichi chategemea maombi yenu afike kazini. Huyu bwana ndiye aliyekuwa msimamizi katika harusi ya Chanaga.

1 comment:

  1. Nimefurahi kuiona blog yako na pia nimeona tushare na wewe blog nyingine hii hapa
    http://harusiyetu.blogspot.com

    Tushirikishane tutafika.

    ReplyDelete