Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 20, 2009

Leo Tuko Zenji

Raha ya tende za Zenji, cheki jinsi zilivyopangwa.
Jinsi ladu inavyotengenezwa, kama haujui ladu ni kitafunio gani basi huja ishi pwani.

Hizi ndio Daladala za Zenji au Matatu aka Ma3 za Zenji.



Ndio Kariakoo ya Zenji.

1 comment:

Anonymous said...

Naomba nikurekebishe. Kwenye sinia kuna Halua na siyo Ladu.
Halua husongwa na ya zenj inasifika sana. Dar pia hupatikana kwa baharessa.
Ladu hupatikana katika maduka ya wahindi na maranyingi hutengenezwa na unga wa dengu kwa hivyo huwa na rangi ya manjano.