
Timu ya magereza ilivyowashangaza wazanzibar kwa jina lingine wanajiita timu ya mafunzo. Timu hii imepanda daraja mwaka huu na kuivua ubingwa timu kongwe ya miembeni kwa kuichapa mabao mawili mkwa moja, wafungwa washangilia ushindi huo kwa kucheza muziki.

Mashabiki wa mpira ndo hao.

Ajali kazini ndo mambo ya mpira.

"Yahye maji huwekwa kwenye ndo alafa twayanywa tukisikia kiu yahye"
No comments:
Post a Comment