
Mdau wa Pwani Raha Mike Kambi akimsadia mwanae kukata keki alipotimiza mwaka mmoja katika party iliyofanyika Cine Club jijini Dar es salaam tarehe 19 Julai 2009.

Keki ya mtoto Annemarie Michael Kambi aka Kache.

Jinsi keki ilivyokuwa.

Kache akimlisha mamake keki.

Kache akimlisha daddy M. Kambi keki.

Kitukuu Kache akimlisha bibi ya baba yake (Bibi mkumbwa) keki.

Picha ya pamoja kutoka kushoto ni Betty akiwa amembeba Kache (birthday girl), Jacky (shem wa Mike), Mike na aliyekaa ni bibi yake Mike Bi Blandina.

Kache akipata juice kwa kutumia straw (mrija) kuonyesha jinsi gani alivyokua.

Mama betty na mwanawe Kache siku ya birthday yake. Ghafla ya birthday hi ilifanyika Cine Club.
3 comments:
Honggera Michael Kambi! You have a beautiful family! Clement I enjoy your blog posts sana!! Keep it coming :)
Thank you Loretta you are welcomed.
Thank you Loretta you are welcomed.
Post a Comment