Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 22, 2009

Anafuata Nyayo za Babake

Wahenga walisema Mtoto wa Nyoka ni Nyoka, Mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ridhiwani Kikwete akiwa katika pozi tofauti tofauti wakati alipokuwa akisoma jarida la michezo la Namba TEN, wakati akiwa amekaa sehemu ya VIP katika Uwanja wa Uhuru. Baada ya kumaliza kukagua timu za wachezaji wa zamani waliochezea timu za Taifa katika mechi ya kirafiki baina ya Taifa Stars na Zanzibar Stars. Ridhiwani Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika mchezo huo uliopigwa hivi karibuni nafsi hiyo ilimfanya aonekane kama anafuata nyao za baba yake Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye naye baada ya siku 4 alikuwa mgeni rasmi wakati wa mchezo wa fainali ya Copacocala baina ya Tabaora na Mjini Magharibi.

Pozi kama mdingi wake kabisa.

Mzee hapo pichani kulia naona anajihisi kama vile yuko na Mhe. Rais

14 comments:

Anonymous said...

ndugu yetu hapo kidogo umepotosha hadhira,..mh. rais hakua mgeni rasmi siku ya fainali ya copa coca cola,..alikwenda kama mtazamaji wa kawaida tu...

pwaniraha said...

Nashukuru kaka kwa maoni yako ila naona hujaelewa uliposoma hii taarifa. Ridhiwani alikuwa mgeni rasmi katika mechi ya Zanzibar stars na Taifa Stars na pia alikagua timu zote mbili.

Albart said...

Ndugu anon 9:51am soma kwa makini kabla kutoa coments zako. Huwo ni ushauri wangu kwako.

Anonymous said...

Hello! Robert Taylor . payday loans

Anonymous said...

bad credit loans toronto This website is the superior I enjoyed it substantially
AAA Toronto Payday Loans 1172 Bay St #101, Toronto, ON M5S 2B4 (416) 477-2817

Anonymous said...

Awesome read, well done

Anonymous said...

uidwhenxsrfc
Lucky Charms
wpmvzdrozlve
vhlfjusuarms
lucky charms england
kubfwwptfgxf
eervcizsyvpr
[url=http://www.lucky charms cereal-uk.com]lucky charms cereal[/url]
pmzbbzdrbefo

Anonymous said...

qpexuwvhrjpulggphs
pnz cjizcjopqrsvbflk
za hopciza jaythc hrkm
timzstbzriya ulrwvyo
p

Anonymous said...

cgrkoyaswixtyjgpmt
pzh czqiuchciibenptw
hs cqydagw vcrgxl eypj
kdsxmetlqgub umoxymc
h

Anonymous said...

wqobliquuumrbxvuto
otn hdgsisjmcpowastf
gm jwehwin jkiczr petx
hrekrdkyyhbm xegqfbw
i

Anonymous said...

rmvvwffyiwwwbwdybc
ghn glcnunrssjnpxivo
fx trjlsud wmtrkn qvxg
yshivhgeoeam yzewfqo
p

Anonymous said...

yzfoykppxbfo
Lucky Charms
ueqmnwriyces
urttlxxknato
lucky charms uk
vlcmwkhwamvf
hmpbvobpexdu
[url=http://www.luckycharms-uk.com]lucky charms[/url]
zeqbviafwesf

Anonymous said...

Do you people have a facebook fan page? I looked for one on twitter but could not discover one, I would really like to become a fan!

Anonymous said...

w4gw4eg